Radio Ibuka Live

Radio Ibuka Live Radio Ibuka Live tunapeperusha angani. Kuwa wa Kwanza kupata Yale yanayojiri Mashinani na pembe zote za Dunia. Mbona ushuhudie kisa na unyamaze? Kuwa Ripota wetu Mashinani!

Channel Banner

Recently Played

About Us

Japo vipo vituo vingi vya redio duniani, Ibuka FM ni kituo cha redio ambacho kauli mbiu yake ni ya kipekee. Ni redio ambayo malengo yake si ufwasi tu bali kuelimisha na kuwafungua macho wapenzi wasikilizaji na wasomaji wa makala kwenye tovuti yake ya www.radioibukalive.com. Miongoni mwa mashabiki hawa shakiki, wanafunzi wamepewa kipaumbele kwani ni hapa ambapo watafunuliwa ukweli kuhusu thamani ya vipaji/talanta zao katika kujiimarisha kimaisha. Mambo yanayoangaziwa kwa kina na kituo hiki pamoja na tovuti yake ni masuala ibuka al maarufu masuala mtambuko katika mtalaa wa Umilisi

click here
click here
 

Chat